godson Lomayani
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 538
- 711
Kwani kanikimbia na gloves? Maana CCM watendaji walikimbia na fomuAJ ameshinda ushindi wa ccm
Nimependa zile jabs za Joshua japo bado hazikuwa kali kama zile za Lennox Lewis.Bondia Antony Joshua amefanikiwa kumshinda kwa points hasimu wake mkubwa Andy Ruiz Jr na kufanikiwa kutwaa mikanda iliyokuwa ikishikiliwa na Ruiz.
AJ alikuwa akipigana kwa tahadhari kubwa.
Ngumi n techniques skills...Anthony Joshua alivurunda game ya kwnz, so alienda kumusoma adui, angerudia makosa usingekosa cha kuongea pia...Andy ruiz ni kidume kwelikweli, anajuwa ...mjomba yeye muda wote alikuwa anakimbiakimbia na kurudi nyuma...bahati vipoint vimemsaidia otherwise KO ilikuwa inamhusu kama first game!
Joshua Hana kitu wale wale tu hakuna ndondiNdoni zilipoteza mvuto hapa nyuma kdg
baada ya kizazi cha akina
Mike tyson,
Buster Douglas,
lenox Lewis,
Evander Holyfield,
Frank Bruno,
Vitali Klitschko,
Wladimir Klitschko...
Sitaki kuzungumzia enzi za Thrilla in Manila, maana nilikua hata sijafikiriwa.
Ila naona taratibu zikirudisha mvutooo, japo sikuhizi maneno mengi na kupambana pambana kwingi.
Huyo Joshua sio mutu ya maneno mengi kama mtaalam Mayweather.
kwaio naye hakuna mzigoo?Joshua Hana kitu wale wale tu hakuna ndondi
Tulikuwa tunahtaji combat fighting man to man show na Sio kutumia mbinu za kijinga kwa kigezo Cha kumsoma mpizanikwaio naye hakuna mzigoo?
Ngumi n techniques skills...Anthony Joshua alivurunda game ya kwnz, so alienda kumusoma adui, angerudia makosa usingekosa cha kuongea pia...