BOXING: Klitschko Vs Derek Chisora.

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,440
Nimesoma habari za michezo mtanadoni naona kuna boing mzimbabwe leo anapambana na Klitschko.

Since kuondoka kwa Tyson boxing imekuwa haina msisimko mkubwa tena kama ule wa zamani watu hatulali... kushudia masumbwi. Sijui wadau mnasemaje kuhusu hili pambano ... na hwa Klistco brothers......

Naona jamaa (chisora ) katika picha ya pamoja jana na mshindani wake alimzaba kibao
[video=youtube_share;KxHkJq1ICOE]http://youtu.be/KxHkJq1ICOE[/video]

Haya wadau mlio karibu wa michezo specificaly boxing tupeane update za huu mchezo. na tukio

pambano litakuwa mida saa saba usiku kwa saa za afrika mashariki
 
So Chisora ni nani ?

Soma makala kamili hapa crunchsports.com
 
This Chisora guy pounced on Klitschko's face in the middle of a press presentation where they were supposed to do face to face & head to head shots...Hopefully he doesnt get his a** kicked tonight.
 
Kwa wale wenye net nzuri na hawana big screen karibu wanweza kutazma kwenye sreen ndogo kupitia internet kwenye haka ka-blog tovuti ka mazoezi ka mtazamaji . Ukifika huo ukurasa chagua others then tafuta mechi ya boixing iliyonadikwa
00:45
Boxing: Vitali Klitschko - Dereck Chisora
[h=3][/h]
 
Wale wenye sky huko mamtoni nasoma kuwa mpambano utaonyeshwa kwenye channel Sky channel 456. Wenye supersopts live covarage ipo SS 2 on DStv. Maelezo mengine ya chisora yapo hapa
 
Itakuwa saa ngapi wadau wa ngumi nisubiri nina dstv itaonyeshwa channel gani
 
Jamani pambano lishaanza majamaa wako vyumba vya kubadilshia nguo...huyu mweusi anaonekana kuw na kihere here sana mmh
 
Mlioko uso kwa uso na Dstv msitutenge wajamen!

Tunawasubiria jamani!
Hata mtu akidondoshwa round ya tatu usisite kutujuza jamani!


Enzi ile unasikia hv:
Mike Iron Tysoooooooooonnnn!!
 
Mlioko uso kwa uso na Dstv msitutenge wajamen!

Tunawasubiria jamani!
Hata mtu akidondoshwa round ya tatu usisite kutujuza jamani!

Usiwe na shaka utaletewa dondooo uzuri week end

Kuna mwanamuziki kamaliza kuperform
 
Na wale wenye madish yanayokamata aljazeera ipo pia aljazeera sports 3
 
Mlioko uso kwa uso na Dstv msitutenge wajamen!

Tunawasubiria jamani!
Hata mtu akidondoshwa round ya tatu usisite kutujuza jamani!


Enzi ile unasikia hv:
Mike Iron Tysoooooooooonnnn!!

Enzi zile ukikosa usingizi ukakupitia uistuka unakuta replay. Lakini huu mpambao nafuu sabbu unafanyika Germany sio USA .diffenrce ya masaa sio kubwa na EAT
 
Huyu Klitschko ni mrefu sana . Nadhani hiyo imekuwa ni advantage kwake.

Sasa Taaa zimewashwa ukumbi wa munich utakapaofayika mpambano kabla ya hapo ilikuwa giza tu

Msema chochote ( MC) anawakaribisha wanandondi
 
Chisora ndio kaanza kuingia ulingoni anazomewa sana na mashabiki inaonekan wajerumani wanampenda klischko
 
Wenye decoder za sky uko UK mechi iko free air channel 456
 
Klishsticko anaingia ulingoni kwa background ya kengele sio muziki. ..... lol hii kali
 
Nyimbo za mataifa ya wawakilishi zinapigwa.
God save the queen wimbo wa UK (taifa analowakilisha Chisora ambaye kiasili ni mzimbanwe ) unaanza

Then wimbo wa ukraine unafuata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…