BOXING MATCH: GGG 'chuma cha reli' anapanda ulingoni usiku huu kupigana na Steve Rolls

BOXING MATCH: GGG 'chuma cha reli' anapanda ulingoni usiku huu kupigana na Steve Rolls

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Gennady 'Goodboy' Golovkin almaarufu kama GGG, bondia wa kiwango cha juu sana duniani wa uzito wa kati anatarajia kupanda ulingoni usiku huu kuzichapa na mcanada Steve Rolls.

GGG ambaye anasifika kwa kuwa na roho ya paka (hata umpige ngumi 800 mfululizo huwezi mdondosha [emoji3][emoji3][emoji3]) ana jumla ya mechi 38, kati ya hizo ameshinda 36 moja akitoa sare na nyingine kupoteza kwa Canelo Alvez via UD, Kwa upande wa Steve Rolls ambaye si jina maarufu kwenye ndondi (underdog) ana jumla ya mechi 19 na hajawahi kupoteza.

Je, anaweza kufanya maajabu kama ya Ruiz wiki iliyopita? Let's wait n see, bado masaa machache tu.

Screenshot_20190609-010526_1560032293144.jpeg
Screenshot_20190609-011453_1560032255578.jpeg
Screenshot_20190609-011643_1560032233438.jpeg
 
Jamaa sugu Sanaa alafu mvumilivu na anangumi kama tren ya umeme(namkubali mnoo)
 
Back
Top Bottom