Gennady 'Goodboy' Golovkin almaarufu kama GGG, bondia wa kiwango cha juu sana duniani wa uzito wa kati anatarajia kupanda ulingoni usiku huu kuzichapa na mcanada Steve Rolls.
GGG ambaye anasifika kwa kuwa na roho ya paka (hata umpige ngumi 800 mfululizo huwezi mdondosha [emoji3][emoji3][emoji3]) ana jumla ya mechi 38, kati ya hizo ameshinda 36 moja akitoa sare na nyingine kupoteza kwa Canelo Alvez via UD, Kwa upande wa Steve Rolls ambaye si jina maarufu kwenye ndondi (underdog) ana jumla ya mechi 19 na hajawahi kupoteza.
Je, anaweza kufanya maajabu kama ya Ruiz wiki iliyopita? Let's wait n see, bado masaa machache tu.