Orthodox ni bondia anayetumia sana mkono wa kulia hivyo hutanguliza mguu wa kushoto mbele ili kumlazimisha adui kusogea upande wa lia ambapo ndipo anapategemea sana ila pia kitendo cha kuweka mguu wa kushoto mbele kunaufanya mkono wa kulia kuwa mbali kidogo na mpinzani hivyo ngumi yake ikimpata ni balaa. Mkono wa shoto unatumika kupiga ngumi za kudonoa Mana unakua Karibu na adui. Southpaw ni kinyume chake