BP. (Blood presure) inatibika

Benuardkomba

Member
Joined
Jul 4, 2017
Posts
16
Reaction score
0
Tatizo la Bp kwa sasa kwa miaka ya hivi karibu limeonekana kukua kwa kasi zaid ukilishana na kipindi cha nyuma, hii ni kutokana mfumo wa maisha tunayo ishi sio mzuri hasa katika mfumo wa ulaji/unywaji vyakula/vinywaji pasipo kuzingatia kanuni bora za kiafya, na kuangikia ktk mardhi sugu kama Bp, kisukari, uzito mkubwa kupita kawaida, na akisha fikia hatua hii mtu hukata tamaa kuamin ametumbukia ktk dimbwi la maisha yake yote na pengine anaamin kilicho baki sasa ni kifo.
Kwa kuliona hili kampuni ya forever living product imekuja na suluhisho Na kuleta tumaini jipya kwamba maradhi yasio ya kuambukiza mfano Bp inatibika na kupona kabisa. Kwa maswali, ushaur au kujua bidha hizi na utendaj kaz wake tupigie kupitia 0764672674
 
nimecheka hadi wanangu wameshangaa !!!
 
Mmmh! Natamani kujua ulitumia aloe vera gel pekeake? Na kama ndio ulitumia kwaa jili ya nn/kwa lengo lipi, kama ulitumia hicho pekeake kwa tatizo la Bp nkupe pole kwasababu hata ungetumia vifike 50 hakiwez kuondoa Bp, hivyo unavyo viona apo pichan ni doz ya kutumika kwa wakat mmoja, je ww ulitumiaje?? Mana hiz ni sawa na ukienda hispitali ukaktana na Dr asie mzur akupe dawa tofaut natatzo lako, ukazitumia na ziskusaidie haina mana hosp imeshindwa kutib inawezekana ni Dr ulie kutana nae amekupa doz isivyo
 
Mmmh! Natamani kujua ulitumia aloe vera gel pekeake?
Kwanza niliyekuwa namnunulia ni marehemu kwa ivo tusikumbushane machungu. Halafu kusema nilikosea kutumia Alovera Gel peke yake wakati M-forever Living mwenzako hapa Iringa alikuwa ananiuzia bila ya kuniambia nichanganye na ivo vingine unanitia hasira itakayonifanya nimchukie bila ya sababu.

Zaidi ya hayo bei yenu ni kama vile mnauza uhai wakati mnauza viini lishe viambata (supplements) tu!
 
[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2]
 
Pole sana rafiki!!

Mi nawaogopa hawa km ukoma!
 

JF raha sana,hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa pole mkuu
 
Duu! Hata mm imeniuma hii, japo kwa bei nikwel zipo juu kdogo lakn zpo vizur Bp inatoweka ushuhuda tunao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…