pumbavu zao
Nipo na jamaa hapa London pub -ubungo xternal, yeye anafanya kazi BRAC HQ-MBEZI BEACH -MAKONDE. DSM, anasema hakuna kitu kama hicho, BRAC hawatozi hela, unapigwa interview ya kuandika and then ya kuonge. Hakuna kujaza form, maombi ya kazi yanatumwa kwa njia ya posta au unapeleka kwa mkono, na sio email. Hao ni matapeli kimbia fasta, walipoti kwa kamanda kova haraka sana. CPA(T)
pole sana mkuu,mambo ya kazi yana frustrate sana bora nimeanza kujiingiza kwenye ujasiriamali polepole
hata ssra huku ujasiriani hawahusiki! safi mkuu wa kazi!