Little Angel
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 1,212
- 373
acheni kukariri kila kitu utapeli nani akutapel sh 8000 kuweni waelewa haya vipi walioenda ofsini kuchukua form na kupewa risiti nao wametapeliwa? hatuna njaa za kiivyo
acheni kukariri kila kitu utapeli nani akutapel sh 8000 kuweni waelewa haya vipi walioenda ofsini kuchukua form na kupewa risiti nao wametapeliwa? hatuna njaa za kiivyo
asante ndugu yangu. aah hao hawahusiki kabisa, sema tu kutake off ndio huwa inakuwa ngumu mwanzoni. but after sometimes mabo yanaenda tu mkuu.
acheni kukariri mambo kila kitu matapeli hatuna njaa ya kuwatapel elf 8 haya vipi waliokuja ofsini na kuchukua form na kupewa risiti? unajua kabla hujafanya kitu ni bora kuuliza haya waliotumiwa form na kujaza wasemeje? kilakitu matapeli asiejua maana haambiwi maanahawa jamaa wa brac jamani wajipange sawa sawa. Niliona tangazo humu ndani juzi kuwa wanataka afisa mikopo. Mi ni mmoja wa walio2ma maombi. Baada ya siku kama 4 hv nkapata sms ikinitaharifu kuwa niwapigie kwa ajili ya kujaza fomu. Kupiga eti mdada kwenye cm anasema ni2me elfu 8 ndo an2mie fomu. Kuna kaz kwel hapo wana jamvi?
na hata huko kuajiriwa mwanzo mgumu mpaka mwisho! kwani waajiri wote skuizi wanamsemo wao"hatuna uwezo wakuwatimizia madai yenu" mmh! mimi naangaika kutafuta ajira tu hapa! ila kuna kampango kangu nakaweka sawa nianze kufuga kuku na kuproduce mboga za majani! mengine ntajua mbele kwa mbele! mana nimeshaona huu mtihani
nimependa mawazo yako ndugu yangu hawa waajiri wanatu utilize sana lakini unachokipata mwisho wa mwezi ni kidogo sana. chukulia mfano wa mfanyabiashara wa genge tu ukicalculate net profit yake ya mwezi unaweza ulie. they do make money. hii ni kwasababu wanauza vitu ambavyo anybody can afford to uy.
si lazima uanze na biashara kubwa, anza na ndogo tu i swear u wont regert it.
mi sinaona! sasa mfano hawa recruitments agency skuizi! ndo kuwafanyia kazi watu nje nje! yani ufanye kazi wewe afu kariia nusu ya mshahara wachukue wao! siutumwa huu! ujasiria ndo maisha yalipo! tatizo mzungu kaziteka akili zetu waafrica kuwa bila elimu na kuajiriwa maisha hayaendi, matokeo yake ndo haya!
hilo ndo tatizo kubwa. wakati tunapokuwa chuoni kila mtu anakuwa na mawazo ya kuajiriwa. by the time unaingia kitaa unahangaika tu kutafuta kazi sasa mpaka mtu apate hyo kazi ameshasota kweli. lakini bahati mbaya bado mtu unakuwa na hopes za kupata kazi tu.
hizo agency mi sizifagilii wala nn maana zinaumiza sana vijana. mshahara wenyewe mdogo bado waukate aah.. inatia hasira sana.
hilo ndo tatizo kubwa. wakati tunapokuwa chuoni kila mtu anakuwa na mawazo ya kuajiriwa. by the time unaingia kitaa unahangaika tu kutafuta kazi sasa mpaka mtu apate hyo kazi ameshasota kweli. lakini bahati mbaya bado mtu unakuwa na hopes za kupata kazi tu.
hizo agency mi sizifagilii wala nn maana zinaumiza sana vijana. mshahara wenyewe mdogo bado waukate aah.. inatia hasira sana.
Samahan huo mshahara mnagawana pasu kwa pasu na agency? Plz naomba ufafanuzi mkuu nisijekuanguka na pure_sha
ndo ivyo mkubwa wangu wa kazi! ngoja tuone! ila tukiendelea na mfumo huu wa elimu wakuwekeana matumaini ya kuajiriwa,fild nilazime ukafanye kwenye maofisi! tutakuwa tunagomana govt tu! na hutuna tunachokipata! mimi supervisor wangu alivyokuja kunikagua nilimwambia! nimepata lfield kwa tabu sana na bado sioni cha maana nchokipata huku, je? ni kwanini usingeniruhusu nifanye ujasiria wa bustani za mbogamboga alafu aniangalie nnavomanage na kutafuta masoko! ati alibaki akicheka tu1 nilitamani nimmeze
nasio kila alieapply alipewa form waliochaguliwa ndio waliotakiwa kujaza form na ungeuliza form za nini? watu wengine bwanaHadi muda huu ninao reply hii Quote yako watu walioi view hii thread ni 157..aya kwa hesabu za primary za kujumlisha na zidisha 8000 x 157 = 1256000 Je kama wote wangekua wana apply hiyo nayo ndogo??Ndo ndo si......Ushastukiwa Dada,,,,KAJIPANGE msawaibie vijana kizembe zembe.
hao malecturers ndo kabisa hamna elimu ya ujasiriamali vichwani mwao ambao wanaapply apart from kufundisha, wala siwezi shangaa kama alikucheka. kikubwa ni ww kuamua unataka kufanya nini na kwa wakati gani. as long as shule umepiga una ideas nyingi tu sasa ni kuzifanyia tu kazi.
acheni kukariri kila kitu utapeli nani akutapel sh 8000 kuweni waelewa haya vipi walioenda ofsini kuchukua form na kupewa risiti nao wametapeliwa? hatuna njaa za kiivyo
jamani kiukweli hawa wabangladesh hawataki hata sh 10 ya mtu..kama watu mmeanza kuombana vocha ,bas ujue huyo mbongo ametia mkono nawashauri msimtumie hata 50,nyie nenden mbez beach unashuka kituo kinaitwa makonde thn utaangalia upande wa kulia utaona sheli ya engen ,wanashea ukuta na hiyo shel.kama vipi unaweza kutuma kwa mtandao.wapendwa hakuna kujaza fomu wa kujaza daftari.mambo yote ni interview written and oral ,baada ya hapo tutakutana ipagala dodoma kwenye training centre a.k.a big brother
mkuu sina uzoefu na hizo agency ila nasikia huwa wanakata asilimia fulani ya mshahara wako kwa muda fulani kulingana na mikataba yao. ngoja wanaoelewa vizuri waje watupe ukweli.
Hata mimi ni mmoja wao waliotumiwa sms, mi nimeamua kuachana nao, maana inasemekana hata baada ya kujaza fomu hizo hamna uhakika wa ajira.hawa jamaa wa brac jamani wajipange sawa sawa. Niliona tangazo humu ndani juzi kuwa wanataka afisa mikopo. Mi ni mmoja wa walio2ma maombi. Baada ya siku kama 4 hv nkapata sms ikinitaharifu kuwa niwapigie kwa ajili ya kujaza fomu. Kupiga eti mdada kwenye cm anasema ni2me elfu 8 ndo an2mie fomu. Kuna kaz kwel hapo wana jamvi?