Brac Tanzania jirekebisheni kwenye utoaji mikopo kwa wateja binafsi

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2020
Posts
2,943
Reaction score
2,935
Hii taasisi ipo kwenye mikoa mingi, lakini taratibu zenu hazijatua, yaani kila baada ya muda zinabadirika.

Ninyi mnafanya biashara kwa upande mmoja na kwa upande wa pili mnahudumia wananchi.

Hivyo ni vema kuondoa ukiritimba uliopo sasa, mteja akimali mkopo ni vema apewe mkopo mwingine kuliko kumzungusha.
Biashara zinakwenda na muda.

Fomu anajaza manager hivi haki hiyo?

Badirikeni bhana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…