M mchoyo Member Joined Aug 13, 2013 Posts 48 Reaction score 8 Aug 10, 2014 #1 habar yenu natumain nyote wazima wa afya,mimi nina swali naombeni ufafanuzi kuhusu hizi dawa(bramestone) anayejua anifafanulie coz nimeckia ni dawa za homoni nataka kujua kazi yake natanguliza shukrani.
habar yenu natumain nyote wazima wa afya,mimi nina swali naombeni ufafanuzi kuhusu hizi dawa(bramestone) anayejua anifafanulie coz nimeckia ni dawa za homoni nataka kujua kazi yake natanguliza shukrani.
H Howt Lady JF-Expert Member Joined Jul 15, 2013 Posts 1,518 Reaction score 471 Aug 10, 2014 #2 ngoja waje wataalam wa afya
M mchoyo Member Joined Aug 13, 2013 Posts 48 Reaction score 8 Aug 10, 2014 Thread starter #3 ok tusubiri