Tetesi: Branch International nao waanza kufunga virago kama Tala

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Kutokana na hatua kadhaa zilizoanza kuchukuliwa na BOT, Hawa Branch nao wameanza kusitisha huduma za mikopo kwa wateja wengi haswa Watanzania kwa kisingizio kama Cha Tala, kuwa wanafanyia marekebisho mifumo Yao.

Habari hii iwafikie wateja wao au wanaotarajia kuwa wateja wao.
 
Huenda ni kweli wanafanyia marekebisho mifumo yao.
 
Kutokana na hatua kadhaa zilizoanza kuchukuliwa na BOT, Hawa Branch nao wameanza kusitisha huduma za mikopo kwa wateja wengi haswa Watanzania kwa kisingizio kama Cha Tala, kuwa wanafanyia marekebisho mifumo Yao.

Habari hii iwafikie wateja wao au wanaotarajia kuwa wateja wao.
Hawa hawakuwa na ofisi pale makumbusho DERM PLAZA?
 
Inaonekana Branch International wamesitisha huduma ya mikopo mitandaoni maana App yao haichakati tena maombi ya mkopo wala hakuna taarifa.
 
Back
Top Bottom