... au kuchangia hoja humu JF!... Kazi ya meneja sio kukaa ofisini na kuchart kwenye facebook ...
Kufungua account sehem nyingine pia na kuwa na account nyingi ni kuongeza cost unnecessarily. Kama walivyosema wengine, benki zetu zina matatizo makubwa saana kuanzia na transaction costs zao na takataka nyingine. Hazina tofauti na makampuni ya simu. Tatizo wengi wetu huamini huduma zile tunazopewa ni hisani yaani si stahili yetu. Mteja anafanyiwa vile na bado anang'ang'ania benki ile. Dawa ni kuondoka kutafuta nafuu ya huduma. Hivi wateja wengi wakiwa na hulka ya kurejea kule walipohudumiwa vibaya unadhani hizi huduma mbovu hazitakoma?mjifunze kuwa na account sehemu zingine....hao NBC upuuzi wao haukuanza leo