Brand ipi ya blender wanakuwa na blender imara na za kudumu?

Kwa blender ni Kenwood


Blender zote ziko hapa
 
Nikai ninayo toooka 2006 huko mpk leo inadunda

Nikai mimi anayo bimkubwa, nafikiri toka nipo kidato cha pili anayo! 😊
Hizi za kichina zinapata kutu miswaki yake ya mota. Na maplastiki yake kuisha hasa, zile raba za gear.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…