BMW je? 5 series F10?Inategemea na matumizi ya gari na budget yako, maana hao watengenezaji wote wana gari za on-road na off-road. Ila kwa sasa VW ana project ya kutengeneza very reliable cars na zenye maintenance cost kidogo. So kwa Afrika, unaweza kuzimudu zaidi. Range Rover, Jaguar sikushauri kama unahitaji gari la matumizi ya kila siku.
Vipo kibaoMimi nazipenda sana VW , hata magari ni magumu sana , bodi ni jiwe. Nina wasiwasi na vipuri vyake tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa gharama nafuu ni VW na Audi.Wakuu,
Tukiachana na Japanese Car's, je ni brand zipi za ulaya ambazo zinaendana na mazingira yetu? Brand hizo ni kama VW, Mercedes Benz, BMW, Ranger rover, jaguar, Ford, Jeep nk
Japa namaanisha..
1. Barabara zetu
2. Upatikanaji wa Spares
3. Upatikanaji wa Mafundi
4. Gharama za Service
5. Ulaji wa Mafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe dereva mzuri tu, maana iko chini. Na usiende kwa mfundi wetu wa kitaa, maana hapo ni umeme kwenye kila kitu.BMW je? 5 series F10?