INAUZWA Brand New Cisco Switch WS-C3650-48

Hapo ndipo ambapo tangazo lako halijakamilika mkuu
 
@wa kupuliza Tafuta wateja kazi umesha Iona. Kwa Msaada wachek watu wanao dili na mambo ya IT. Utapata wateja wengi. Ilo sio Gari ni Kifaa cha Network.
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Kama ingekua Gari ingekua Ni model ya kutoka co. Gani(Audi,bimmer,Mercedes, Toyota au?) πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.

Bei imepungua mkuu?
 
Duniani hakuna mtu asiekuwa dalali, tumetofautiana angle tu za udalali
Ili Dalali huyo akae vizur kwa asivyo vijua awe anauliza akaelewesha atajua vingi ata namna ya kuongea na mteja kuliko akiishi kwa Picha na Kukariri.
 
Ili Dalali huyo akae vizur kwa asivyo vijua awe anauliza akaelewesha atajua vingi ata namna ya kuongea na mteja kuliko akiishi kwa Picha na Kukariri.
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ haya tuma salamu kwa watu watatu mtoto mzuri.
 
Professional Network Cisco Switch WS - 3650 48 Ports Still Available.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…