Mkubwa kuna office nafuatilia katenda nina uhakika wa 70% mpaka sasa wa kukawin
mungu akisaidia ntakupigia jamaa wanahitaji 100
Tuombe mungu ajalie
Hiyo bei mmh mbona inaonekana ni poa sana.kwa specification hizo hata china hupati kwa bei hiyo.au ndo bidhaa kwa ajili ya Africa?
Tafadhali muone mshika kipenga Invisible kwa mchango wako ili hii tovuti iendelee kukaa hewani....Please...I'm serious!!Kupitia JF nimeweza kupata Order ya PC 200...tanx, bado zipo nyingi ila nataka wana-JF tunufaike wote....ndo mana nasisitiza kuzidi kutafuta tenda maofisini kwenu, mitaani na kwenye dili za mtu mmoja mmoja..
Tafadhali muone mshika kipenga Invisible kwa mchango wako ili hii tovuti iendelee kukaa hewani....Please...I'm serious!!