Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
What year Corolla?
Hapo ilipo siyo kiwandani..ilifikaje hapo na ikawa na 0 km...kuwa mkweliHello comrades,
Brand new howo tipper available with 0 kilometer, for lower price of only 160m plus registration.
Come and grab it quickly.
Only one unit left.
Hapo ilipo siyo kiwandani..ilifikaje hapo na ikawa na 0 km...kuwa mkweli
Scania gani ya 2023 zero kilometa ya muundo huo unapata kwa pesa hiyo?Kumbe gari za kichina hizi Howo bei yake ni kubwa kuliko scania?
Namaanisha hizihizi scania zinazouzwa na wakina be foward zilizotumika nje ila ni kama mpya kwa kibongobongoScania gani ya 2023 zero kilometa ya muundo huo unapata kwa pesa hiyo?
Inaonekana unawahi sana kubaha na kupanick ukikutana na maswali chokonoziUna matatzo, tunavyosema zero 0 means haijafanya kazi ni mpya imepotoka kiwandani ikaenda bandarin inashuka ikaja yard sasa wewe unataka nini?
Ahsante..hata hujui kuongea na wateja.Una matatzo, tunavyosema zero 0 means haijafanya kazi ni mpya imepotoka kiwandani ikaenda bandarin inashuka ikaja yard sasa wewe unataka nini?
Kweli ni lower price!
Scania tipper 340HP ya mwaka 1999 na mileage ya 522,000Km ni 20,000€ ukiweka na kodi ni 120M hadi mkononi.
Scania tipper truck, 176 ads of used Scania tipper truck
Used Scania tipper truck, second hand Scania tipper truck for sale on Planet Trucks - Buy lorry tipper truckwww.planet-trucks.com
Nafikiri umeleta tangazo huku umejiandaa kulumbana kiasi hata huelewi comments.Sasa gari ya mwaka 1999 unafananisha na gari ya mwaka 2023? Yaani hili wewe hujaliona kwamba ni utofauti mkubwa?
OK sawa nimekuelewa.Nafikiri umeleta tangazo huku umejiandaa kulumbana kiasi hata huelewi comments.
BTW:Mimi nimekubaliana na wewe kuwa 160M kwa OKm tena ya 2023 ni very cheaper maana kwa Scania ya 1999 na 500,000km tofauti ya bei ni 40M pekee.
Inaonekana unawahi sana kubaha na kupanick ukikutana na maswali chokonozi
Kama hii ya 2020 mileage 50,000 tunauza mil 85 na inapunguaOK sawa nimekuelewa.
Nmekutext wasp mkuuNamba ya simu
Namba ya simu
Mawasiliano yako mkuu