iPhone siku hizi jina tu, hawana maajabu saaana...
NB: sikuharibii biashara yako, kila la heri katika uuzaji
Imagine mtu akuuzie simu 1.3M kumbe yeye aliinunua kariakoo ambako ni makao makuu ya dunia ya simu fake,copied and refurbished![emoji1][emoji1][emoji1]
Umeinunua Kariakoo pia?πππmbona hela ndogo sana kama 12 pro max nauza 3.2m
Kwanini unaiita hvyo?Gereza la kifahari
Kama itakupendeza niko na LAKI 8.5 njoo PM
Kwanini unaiita hvyo?
nimeshauzaaa boss njoo dukan kuna simu nyingine