Brand new laptops (hp 620) kutoka uk

mjasiria

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Posts
4,156
Reaction score
1,862
Wadau kwa yeyote mwenye kuhitaji laptop kuanzia moja na kuendelea, hesabu tatizo lako limeisha. Laptops mpya na nzuri zimeingia kutoka UK. Specifications zake ni kama ifuatavyo:-



  1. Model : HP 620
  2. Intel Core 2 Duo (2.1 GHz) CPU
  3. 3GB DDR3 RAM
  4. 320GB Hard Disk Drive
  5. Bluetooth & Wi-Fi technologies
  6. DVD writer
  7. Integrated webcam
  8. Windows 7 Operating System.



Kumbuka:

  • Hizi laptops kama nilivyoandika hapo juu ni mpya kabisa, hazijatumika mahali popote maana yake unapewa kitu kutoka katika boksi lake.


BEI:
Jipatie laptop hizi kwa bei rahisi kabisa ya Tshs 850,000/= tu.


Mawasiliano:-
Piga simu 0753965635 au 0714539263


Email:mtukazi@gmail.com
 

Attachments

  • images2.jpeg
    6.9 KB · Views: 59
Samahani wakuu. Huu mzigo umeingia muda si mrefu ndiyo tunatafuta wateja. Natumaini nitakaribishwa vyema.

Thanks.
 
mmmmmhhh ni mpya mkuu? je, quarantee miaka mingapi kama kweli MPYA? maana hp wanatoaga miaka mitatu sasa wewe mingapi maana isije mpya neno tuuu...
 
mmmmmhhh ni mpya mkuu? je, quarantee miaka mingapi kama kweli MPYA? maana hp wanatoaga miaka mitatu sasa wewe mingapi maana isije mpya neno tuuu...
Ni mpya ila tumeziingiza kama kampuni binafsi kwa hyo automatically hiyo guarantee ya hp (ambayo ni 2 yrs) inakuwa applicable kule UK tu.
 

Zipo na orijino carrying case na software packages?
 
Hp ya kichina for African countries au HP China for European standard???????????? Maana laki 850 ni nyingi ati!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…