Mi TV Box S inauzwa. Hiki ni kifaa kinachoipa uwezo TV yako ambayo siyo smart TV kuwa smart TV na pia hata kama TV yako ni smart lakini haina android OS basi unahitaji kifaa hiki ili kufaidi features za Android.
- inatumia android os
- 4K ultra HD
- ina Google assistant (unatumia voice search)
- ni portable
- 8GB storage kwa ajili ya apps. (unaweza kutumia flash pia kama external storage
- HDMI, USB PORT
Bei yake Tshs 190, 000
Napatikana DSM, kwa mawasiliano zaidi unaweza kunichek PM, nipigie namba 0625 547 767.