'Brand' za magari na nchi zinazozalisha

Hapo China unaisahau Vipi YU TONG mkuu, au ipo chini ya HIGER?
 
TATA
Wameshanunua Land Rover/Range Rover toka kwa Mwingereza
Mkuu naomba unieleweshe kuhusu haya maneno kuwa magari ya land rover hayatengenezwi tena. Hata mapya tunayoyaona kwa sasa ni yale ambayo yalitengenezwa zamani kidogo kabla ya kusitisha.
 
Kwa Urusi Kamaz na Lada zipo na nishawahi kuziona hapa nchini
Hata jwtz wamewahi miliki kamaz na Liaz(malori) hata kile chuo cha mbeya tech kilijengwa na warusi na gari zao zilikuwa kamaz.
 
USA - Tesla
India - Mahindra
Sweden - Koenigsegg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…