Brandina

ukwaju_wa_ kitambo

Senior Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
150
Reaction score
173
LB FT DULLY SKEYS & SNA LEE.

Chorus...( Dully sykes)

"brandi brandina I love You , brandi brandina I need You...


brandi brandina nakupenda , brandi brandina nakuhitaji... × 2

Verse 1. ( Lb)

"We njoo nakuhitaji brandi mrembo wa kimaka/ na kuzimia sana ndio maana kwako nadata/ na hakuna mwingine zaidi atakaye nipata/ nakupenda pekee sijui umenipa libwata/ kwani kila kukicha kwenu sikosi kupita/ sometime na call simu, message kama wazimu/ usingizi sipati mawazo kitimu timu/ kweli mapenzi sumu ukinitosa najukumu/ kwani navyokupenda kama masela na ndumu/ "unasemaje?" Sema unachotaka bila shaka utapata/ ukitaka kuenjoy utaenjoy ile kishenzi/ iwe sleep way , water world , ...../ Au turuke pali kichwani Tungi ncha kali / huku tumeribuka bring bring pamba kali yooo! Lb Dully sykes come on...

Chorus...( Dully sykes)

"brandi brandina I love You , brandi brandina I need You...


brandi brandina nakupenda , brandi brandina nakuhitaji... × 2

Verse ..2( Lb)

"Brandi brandina a.k.a zaina mi nakupenda Daima/ Popote utakapokwenda nitakuwa mbele nitakuwa nyuma/na kamwe sintokuacha kama sabu na laila/ kwani wanapendana kila siku wanaelewana/ iwe usiku iwe mchana na ndio maana wameowana/ basi mpenzi na sisi tufuate yanyo tuwe kama wao/ na tufishane pete wanafiki tupinge bao/ ndani ya lover four mtaani watu mshangao/ ila sipendi Tamaa mapenzi ya njaa njaa/ nakupenda Kwa shida na kupenda Kwa raha/ sio kila kukicha unadanga kwenye mitaa mara huko kwa ............ Niko serious mapenzi ya Uongo sitaki star G records..

Chorus...( Dully sykes)

"brandi brandina I love You , brandi brandina I need You...


brandi brandina nakupenda , brandi brandina nakuhitaji... × 2

Verse ..3 ( sna lee)

"Nazitoa sifa zake bila Uonga/ ni sifa halisi kwa binti pekee sio wale mizonga/ sio siri binti huyu maji ya uzuri ameyakonga/kama kunasa kwenye mitengo lebo kanasa/ mtoto ngozi za Asia za mchizi za chomoza/ ...................../ Tena brandina shituka kumbuka wapi? Tulipotoka yupo............Lb , sna lee naendeleza kusakata / wavimba macho wote kwenye Anga zangu wote nadatisha shori acha kujirusha za kinyambizi you know this kama Gheto tusinzi na sna lee born Tz Tz 🎶🎶🎶🎶🎶🎶

Chorus...( Dully sykes)

"brandi brandina I love You , brandi brandina I need You...


brandi brandina nakupenda , brandi brandina nakuhitaji... × 2

Ukwaju wa kitambo
0767 542 202

#funguka

( katika picha ni msanii sna lee)
 
Dully Sykes yupo vizuri kuna ule mwingine unaitwa

"Kupenda"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…