Sawa Chief.Mkuu weka bei kwa kila item moja pia itakusaidia kupunguza kujibu swali moja zaidi ya mara kumi
NB; Kwanini wafanyabiashara wengi wa kitanzania huwa hampendi kuweka bei kwenye bidhaa zenu, yaani hata ukikuta bei imekaa kijumuishi jumuishi tu (kijanja janja). Yani hapo kuna bidhaa nyingi lakeni bei umeweka km mbili tu!!!!!!