Uwe unaweka bei za kila bidhaa unayopost boss, au unapenda kuona meseji za 'sh ngapi?' Pm? Me binafsi sipendi kabisa kuulizia bei ya bidhaa ya kitu privately wakati umepost publicly

Mkuu hawa jamaa sijui wana matatizo gani na kuweka bei kwenye kila bidhaa zao wanazopost, tumeshawaambia mpaka tumeshoka, kila bidhaa wanataka mtu uulize uambiwe njoo pm sasa sijui wanachoficha ni nini, YAANI WANAZINGUA SANA!!!!!