Sipendi sana kuongelea biashara ya mtu kwa namna ya kupinga bei yake
Ila hii bei kwa hizo nguo zako mzee sio
Hapa ndo mnapokoseaga wafanya biashara unashindwa kusoma watu wako vizuri na uwape watu kwa bei gani
Sio mzuri sana wa kujua brands ila muda sio mrefu sana hapo nyuma ( miezi kadhaa) nilinunua moja ya brand hapo nikauziwa 23000 kkoo
Na juzi nimempigia simu mwamba mmoja aniletee hizo ww unaziita dutt nilimwambia kwa bei ya jumla akasema 18000
Kuweni real katika biashara zetu ili mtengeeneze pato la kueleweka muwafikia watu wengi zaidi
Ni sawa na wauza furniture tu yaani unakuta ki-coffee table eti 700,000/- ukiangalia mbao ni low quality.
Sent from my iPhone using JamiiForums