fimboyaasali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 8,617 Reaction score 8,244 Feb 21, 2024 #1 Natafuta brashi za kuosha machupa ya water dispenser, maana uoshaji wake ni changamoto
M Magezi bugaga JF-Expert Member Joined Jul 7, 2021 Posts 1,181 Reaction score 1,594 May 23, 2024 #2 Weka maji ya uvuguvugu ,sabuni , mchanga kiasi na dodoki tikisa ad ikae poa naimani litakaa sawa . Nimejalibu kuwaza
Weka maji ya uvuguvugu ,sabuni , mchanga kiasi na dodoki tikisa ad ikae poa naimani litakaa sawa . Nimejalibu kuwaza