Brasil(Dunga) OUT WC 2010...CCM (JK)OUT 2010?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,264
Reaction score
678
Huu ni mtazamo baada ya kuona wakongwe, watoto wa samba waliojiamini toka Wc inaanza mpka jana wakalamba mchanga.

Brasil imekuma inajiamini kama CCM kuwa wao ndo wenyewe hawakujua kuwa damu changa zinataka mapinduzi ya kweli. WC hii tutegemee mengi vigogo na wakongwe kuaga mashindano haya.

Nimelinganisha Brasil na CCM mana Serikali ya CCM ndo iliwaalika Brasil Kuja TAnzania for friendly match inawezekana Serikali ya JK ndo imewatia GUNDU.

Hapa nalinganisha JK na DUNGA ambaye kashidwa kubeba jahazi la wabrasil na wapenzi wake kibarua chake kinaweza kuota mbawa mwaka huu . Je JK ategemee kama yatakayompta DUNGa???
 
Ndoto za mrema kuingia ikulu
 
Basi kama hufahamu ni dhambi kubwa sana sisi wabongo tumefanya kutomchagua Mrema Kuingia Ikulu
kwani kwa kutomchagua Mrema tumechagua watu wa ajabu
Mimi ninamkubali Mrema Kwanza ni Mzalendo na anauchungu na Nchi hii
pia katika Uongozi wake ni mengi amefanya na mpaka leo tunayakumbatia. ni Mtu shujaa
hata akigombea Leo ana reference kibao kuliko hao wanaogombea leo hawana hata reference yoyote pamoja na kuwa
wamekaa kwenye madaraka makubwa miaka kibao
 
Mkuu mrema hawezi kuingia ikulu hata siku moja labda watzanania walale

watanzania wote wamelala usingizi wa fofofo, ingekuwa hawajalala, wasingemshabikia jk. so kumwingiza ikulu mrema inawezakana
 
Wapinzani badala ya kuhangaika na kutafuta kuungwa mkono wanapiga domo tu ndani ya JF!Hivi ndoto zenu zitakuwa kweli kwa sera za kulinganisha Dunga na JK?
Nani mliyepanga ashindane na JK? Mikakati yenu iko wapi..au ni hii ya kuleta utani wa Dunga na Brasil??? Mtafika popote??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…