Bravo!! vijana wa Julio, Julio anajua kucheza na saikolojia ya wachezaji. TFF wangekuwa makini na wanathamini mchango wa makocha wazalendo, makocha kama Jamhuri Kihwelo, wangepelekwa ulaya na kupata kozi zaidi ya ukocha ..na kisha kuingizwa katika benchi la ufundi la timu ya taifa.