Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
na hizo kura milion 7 zilizokamatwa tunduma??
kweni ujui kuwa ni uzushi??? to ushihadi sio kuvuvuzera tu tu
Kilichowatokea TAKUKURU waliojifanya wachapakazi hodari kwenye kura za maoni za CCM hatukijui? Nani atathubutu kuwagusa mafisadi? Kwenye kura za maoni ulikuwa ni mkakati wa ndani wa kuwashughulikia baadhi ya wagombea wa CCM. Sasa hivi wanashindana na maadui zao TAKUKURU haina kazi kwao. Wa kusifiwa ni wapinzani maana hakuna hata nnoja aliyeguswa na uozo huo. Ni jadi na utamaduni wa CCM.Wapinzani walisema ccm ni chama cha mafisadi watu wapenda RUSHWA
lakini mpaka sasa hakuna mgombea yoyte amekamatwa akitoa rushwa
bravoo takukuru bravooo jk bravoo ccm
Wapinzani walisema ccm ni chama cha mafisadi watu wapenda RUSHWA
lakini mpaka sasa hakuna mgombea yoyte amekamatwa akitoa rushwa
bravoo takukuru bravooo jk bravoo ccm
Walewale, MS yupo kazini!!!