Brayn Adams: Please Forgive Me

acha tumkumbuke na The finest kidogo, si unamuona yuko bize hapo.

hahahahahahahah lol
jamani jamani dahhh
Klorokwin mie sikutaki tena
hahahahhahahaha lol
we mi nikifa ajili ya kucheka
utaipata mmmhhhh

hiyo Record Studio inavijiti
mpaka kinanda chamtoto wa shule..
DR.DREE hana hahahh lol
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahah lol
jamani jamani dahhh
Klorokwin mie sikutaki tena
hahahahhahahaha lol
we mi nikifa ajili ya kucheka
utaipata mmmhhhh

hiyo Record Studio inavijiti
mpaka kinanda chamtoto wa shule..
DR.DREE hana hahahh lol
hehehe huwez kuamini hicho kikundi kuna kama memba sita wa JF humo wadada na wakaka (majina kapuni).
 
hehehe huwez kuamini hicho kikundi kuna kama memba sita wa JF humo wadada na wakaka (majina kapuni).

hahahahahaha lol
tahhhh naona leo umeamua
mmhh sasa hapa tu ndo mahali na kubali
kutoa rushwa sema kiasi tuingie chumbani..
hakikisha unaleta majina yao na birth certificate hahahhaah lol
 
hahahahahaha lol
tahhhh naona leo umeamua
mmhh sasa hapa tu ndo mahali na kubali
kutoa rushwa sema kiasi tuingie chumbani..
hakikisha unaleta majina yao na birth certificate hahahhaah lol
hehehe tukipasua bomu, bendi itakufa. Halaf mmoja ana cheo hapa JF, dah! kweli JF kuna demokrasia yaani hata muimbaji mchiriku anapewa umod? khaaa!
 
hehehe mkuu BAK huyo ndio Wacko Jacko wa bongo.

Klorowini & BAK...Naona nitakesha hapa, sasa nawaachia kibao hicho chini mka-dedicate kwa asali wa mioyo yenu...sad sijaweza pata official video! hiyo sauti na maneno yanaingia hadi kwenye nerves!! ha ha

Could you be the most beautiful girl in the world
It's plain to see, you are the reason that God made a girl....

YouTube - Prince The Most Beautifful Girl In The World
 
hehehe tukipasua bomu, bendi itakufa. Halaf mmoja ana cheo hapa JF, dah! kweli JF kuna demokrasia yaani hata muimbaji mchiriku anapewa umod? khaaa!

hahahahahahah lol
hivi ndo yule tuliemwona facebook...
sasa katununia na kuondoa thanx.
hahahahah lol
yabidi unidokezee kidocho hahahah lol
 
acha nikamdediketie, akileta za kuleta nakuja kukudediketia wewe au AD. lol
 
hahahahahahah lol
hivi ndo yule tuliemwona facebook...
sasa katununia na kuondoa thanx.
hahahahah lol
yabidi unidokezee kidocho hahahah lol
hehehe sio yule bana, yule alikuja na ma groan halaf yakamgeukia mwenyewe akaamua kuondosha na thankx pia kwa mahasira yake, inasemekana ndani ya masaa matano ya kuanzishwa groan alilamba groan zisizopungua 68. Huyu anaepiga kiduku ni mod mpya, halaf anakula chabo mpaka PM, ukimpiga majungu PM unashtukizia ban tu, hata next of kin hajulishwi.
 
hahahahahahahahah lol
Jamini we hufai dahhhhh
hivi unatolea wapi haya maneno..
kwa kweli kuchekesha kipaji chako..
dahh Mrs. wako anarahaa saaaanaaa yaani dahhh

eti Groan 68 hahahahahahah lol
jamani jamani jamani dahhhhhh
Sijatongoza siku nyingi hembu ni PM
huyo mpya nimwingilie mpaka arudishe thanx hahah lol
 
hehehe ukiangalia ile video sekunde ya 36 utamuona mod wetu anaungua na fegi halaf yuko bize na marimba. Hivi haumjui kweli au unatania?, nikimtaja tu basi imekula kwangu, napigwa ban mimi na jirani zangu, jamaa alishawahi kunipa mkwala mtaani.
 
hahahahahah lol
dahhh kama ndo yule
CCM mwanafunzi hahaha lol
mmmhh labda tutapata ***** za bure
Kwa hiyo holiday ya Jamaica na Cuba is cancel...
hahahahahahah lol
 
hahahahahah lol
dahhh kama ndo yule
CCM mwanafunzi hahaha lol
mmmhh labda tutapata ***** za bure
Kwa hiyo holiday ya Jamaica na Cuba is cancel...
hahahahahahah lol
dah! jenereta linaisha mafuta , acha nilog out. sweet dreams bana! niote nakununulia vocha! nimemiss kuchunwa kweli aisee
 
dah! jenereta linaisha mafuta , acha nilog out. sweet dreams bana! niote nakununulia vocha! nimemiss kuchunwa kweli aisee

hahahahaha lol
mie vocha sitaki..
we siwataka kuchunwa ngoja nikutoe ngozi mmmhhhh

Nzuri sana kwa breakfast
MIDORI
 
Hili song lipo tight kinyama, limesimama usipime, i wish Bongo flava wangeiba mambo flan toka kwa huyu bwana na wengine wa aina hii km Don williams, Michael franti, Dolly Patton, Kenny Rogers etc!
 
I forgive you because EVERY THING I DO I DO IT FOR YOU

There's no love - like your love
And no other - could give more love
There's nowhere - unless you're there
All the time - all the way

Oh - you can't tell me it's not worth tryin' for
I can't help it - there's nothin' I want more
I would fight for you - I'd lie for you
Walk the wire for you - ya I'd die for you

Ya know it's true
Everything I do - I do it for you

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…