Kristonsia Nkya
JF-Expert Member
- Jun 24, 2013
- 302
- 292
Hahahahaha.........Braza.....
Ushawahi kukutana na demu anakwambia anasomaga Chuo halafu anakutumia text inasomeka hivi....
"Za hasubui Lichadi,Humehamkaje, nirikuwa nakusalimiha tu hafya vipi?"
"Ndo mana kila siku tunaibiwa mchanga'