Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Aug 19, 2008 #1 Mpira Umeisha Fainalli Ni Kati Ya Nigeria Na Argentina Baada Ya Nigeria Kuifunga Belgium 4-0,na Brazil Kullalla 3-0 Mungu Ibariiki Afrika
Mpira Umeisha Fainalli Ni Kati Ya Nigeria Na Argentina Baada Ya Nigeria Kuifunga Belgium 4-0,na Brazil Kullalla 3-0 Mungu Ibariiki Afrika
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,897 Reaction score 10,213 Aug 19, 2008 #2 Jamaa wamelipiza kisasi cha Copa America
Manda JF-Expert Member Joined Sep 24, 2007 Posts 2,071 Reaction score 306 Aug 19, 2008 #3 Afadhali....i was certainly thinking about watolewe tuu Anderson arudi haraka....we need him badly! Poor Brazil!!
Afadhali....i was certainly thinking about watolewe tuu Anderson arudi haraka....we need him badly! Poor Brazil!!
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,480 Reaction score 4,775 Aug 19, 2008 #4 manda said: Afadhali....i was certainly thinking about watolewe tuu Anderson arudi haraka....we need him badly! Poor Brazil!! Click to expand... Hahahaaa...anarudi mkuu....hope atamaliza hasira zake katika next matches za MU
manda said: Afadhali....i was certainly thinking about watolewe tuu Anderson arudi haraka....we need him badly! Poor Brazil!! Click to expand... Hahahaaa...anarudi mkuu....hope atamaliza hasira zake katika next matches za MU
K kela72 Senior Member Joined May 5, 2008 Posts 168 Reaction score 2 Aug 19, 2008 #5 Mzee, Nigeria imeifunga Belgium 4-1, siyo 4-0, Vipi hukuangalia mpira hadi mwisho?