Brazil chali kwa paraguay!

Brazil chali kwa paraguay!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,437
Reaction score
1,027
Brazil yatolewa out na paraguay,yatolewa kwa penalt 2-0,yakosa penalti zote nne mfululizo.Kwa upande mwingine Japan(the barca of women),ndo mabingwa wapya baada ya kuizaba USA kwa mikwaju 3-1 ya penalti.
 
Safi sana, hawa Brazil hawana vipaji siku hizi kwenye timu yao wanatumia nguvu sana badala ya akili na vipaji!! Siku hizi wachezaji wengi si natural, ni wa kufundishwa kucheza mpira.
 
Safi sana, hawa Brazil hawana vipaji siku hizi kwenye timu yao wanatumia nguvu sana badala ya akili na vipaji!! Siku hizi wachezaji wengi si natural, ni wa kufundishwa kucheza mpira.

wanavipaji lakini tatizo ni moja mipango ya kushinda hawa na kitu chengine hata kupiga penati hawawezi yaani balaa tupu.. walikuwa wanachezea jina na sio uwezo wao binafsi..
 
Duuh hehehe yani unaweza amini pia ulaya kuna ndumba aisee nomaa penalti nne zote wamekosa kaaah!
 
Duh huu ni msiba mkubwa sana,kukosa penati zote nne!!
 
bora wajue kuwa wakijisahau kuna wenzao watawaacha. sio lazima wawe brazil tu on top. hiyo mind sent ikibadilika, sote tutaweza shindana na yeyote yule
 
Brazilians players are very overrated, Neymar is rubbish
 
Back
Top Bottom