Brazil kama Yanga vile huko Qatar

Yanga ni timu ya kawaida sana.
Tanzania timu ni 3 tu Yanga, Simba na Azam. Zilizobaki bado hakuna timu hapo.
Ukitaka kuona timu inacheza mpira kwenye club bingwa Afrika.
Hapo unakutana na timu zinazoshika nafasi ya 1, 2 & 3.
Pamoja na Bayern kuchukua kombe kila msimu lkn bado huwezi kusema ni timu bora kama Brazil.
Brazil anaifunga Serbia halafu unasema Brazil ni km Yanga? Siwezi kushangaa sabb Yanga baada ya kuifunga ile timu ya sudan 5 akaona mpira amemaliza kilichomtokea Misri alipojiona bado kiwango cha soka kipo kidogo sana.
Kuna timu zipo hiyo Brazil kuifunga Serbia usifikiri umemaliza, kuna Hispania, Portugal, France bado zingine hapo.
 
Style ya uanzishaji mashambulizi na magoli wanayompiga Serbia kama YANGA inavyowatesa wapinzani.
Yanga ni timu ya kawaida sana. Hata ukiangalia Yanga wanavyocheza uwanjani hauvutii kabisa. Wanaruka ruka mara mpira unapigwa kule, unarudi huku.
Ni mpira mzuri kusikiliza radioni tu kidogo Simba anajitahidi kucheza mpira. Ukiangalia wanavyocheza, mpira unavutia hata ukiangalia kwenye TV.
Angalia mechi ya Simba na Ihefu, unafurahi hata kuangalia
 
Ichomoe taratibu kujiepushia michubuko pole sana mwana lunyasi
 
Yanga ipi hihiiiii iliyopo kwa maloosers au kuna nyingine
 
Siku nyingine ujitahidi kutofautisha kati ya hizi timu mbili; Al Hilal ya Sudan, na Al Ahly ya Misri!

Msimu huu, Yanga imecheza na Al Hilal ya Sudan, na kutolewa! Na siyo Al Ahly ya Misri. 🗣️Sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…