ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Mtaani kuna polojo nyingi hasa mashabiki wa mpira. Wanadai Brazil ni nchi maskini.
Wanadai Brazil wanategemea mpira. Wanadai wa Brazil wana njaa.
Jamani Brazil ni nchi tajili. GDP yake ni zaidi ya 2 trillion USD. Ni ya Saba kwa uchumi Mkubwa duniani.
Uchumi wa Brazil ni 70% ya uchumi wa bara la Africa.
Ni nchi ya pili kwa kuwa na uchumi Mkubwa baada ya USA bara la America
Tusiwe wavivu wa kupata maarifa