A.k.a watu kutoka Nzega ndio wanaamini hivyo mkuu.😃Hiyo dhana ipo hata kwa nchi ya India.
Kwa India umetupiga mzee. Per Capita ya India inaizidi kidogo sana Tanzania. Ukiongelea GDP ongelea na Per Capita ndio utaona kwa jicho la ndani zaidi.Hiyo dhana ipo hata kwa nchi ya India.
India ni the worlds 5th largest economy by nominal GDP na pia ni 3rd Largest purchasing power parity PPPKwa India umetupiga mzee. Per Capita ya India inaizidi kidogo sana Tanzania. Ukiongelea GDP ongelea na Per Capita ndio utaona kwa jicho la ndani zaidi.
India ni ya 141 based on per Capita
Uchumi haupimwi kwa GDP pekee kijana. Kama ingekuwa hivyo Nigeria ndio tajiri numbari moja Africa. Hebu waangalie watu wake wanavyoishi.India ni the worlds 5th largest economy by nominal GDP na pia ni 3rd Largest purchasing power parity PPP
Ukisema utajiri uangaliwe based on GDP per capital basi ina maana Qatar ni tajiri kuliko USA.
Soma mstari wa mwisho kwenye hiyo comment yangu uliyoiquote,Uchumi haupimwi kwa GDP pekee kijana. Kama ingekuwa hivyo Nigeria ndio tajiri numbari moja Africa. Hebu waangalie watu wake wanavyoishi.
Population ya India inawafanya wazalishe sana. Ndio maana ya Gdp.
Lakini umesahau kabisa kuongelea
Human Development Index
Hata Tanzania ipo kwenye kumi bora ya nchi zenye chumi bora Afrika hata kama wengine hawapendi.Hiyo dhana ipo hata kwa nchi ya India.
Kwa GDP ina izidi mbali tu sema kwa upande wa per kapital kanada iko juu sana kutokana na kuwa na idadi ndogo sana ukilinganisha na Brazil.Ina maana Brazil inaizidi pia Canada?
India ni Maskini wa kutupwa kinachowabeba kudogo ni utundu utundu wao wa mambo ya kisayansi na Teknolojia.Kwa India umetupiga mzee. Per Capita ya India inaizidi kidogo sana Tanzania. Ukiongelea GDP ongelea na Per Capita ndio utaona kwa jicho la ndani zaidi.
India ni ya 141 based on per Capita
Wanted to ask the same questionIna maana Brazil inaizidi pia Canada?