Sijawahi kuipenda Brazil maishani.
Pole FaizaFoxy
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Huu ni uchokozi sasa.Kwani faizafoksi ni mburazil? Sio mwaraab tena?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Huu ni uchokozi sasa.
Kama mimi, nadhani siku ambayo nilipata furaha katika maisha ya kushabikia mpira wa miguu ni ile siku ambayo Germany waliitwanga Brazil goli 7-1 na ile siku ambayo Yanga waliibamiza Coast Union (Waarabu wa Tanga) goli 8-0.Sijawahi kuipenda Brazil maishani.
Pole FaizaFoxy
Yupi yule boya anaechoma nywele!!! Neema Junior???yule bishoo wao alikuwemo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yupi yule boya anaechoma nywele!!! Neema Junior???
Hukufurahi kuzidi mimi mkuu (7-1).Kama mimi, nadhani siku ambayo nilipata furaha katika maisha ya kushabikia mpira wa miguu ni ile siku ambayo Germany waliitwanga Brazil goli 7-1 na ile siku ambayo Yanga waliibamiza Coast Union (Waarabu wa Tanga) goli 8-0.
Neymar hayupo kwenye michuano hiiYupi yule boya anaechoma nywele!!! Neema Junior???
2006 Walitolewa na France. 2010 ndiyo walitolewa na Netherlands, kisha 2014 Germany akafanya yake.Hukufurahi kuzidi mimi mkuu (7-1).
Vipi 2006 walipotolewa robo fainali?
Hivi walitolewa na Netherlands au Spain?
Aiseee nilifurahi sana.