Brazil: Vifo vya COVID19 vyafikia 15,663

Brazil: Vifo vya COVID19 vyafikia 15,663

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Brazili ni kati ya nchi zilizopuuza kuchukua hatua za kujikinga na #CoronaVirus. Rais wa nchi hiyo aliwaambia wananchi kuwa #COVID19 ni mafua tu

Vifo 816 viliripotiwa Mei 16 na kufanya idadi ya vifo nchini humo kufikia 15,663. Pia ina jumla ya visa 233,142

Kwa mujibu wa takwimu za Chuo Kikuu cha Johns Hopkins, idadi hiyo imeifanya Brazil iwe nchi ya nne kwa nchi zenye maambukizi makubwa

===
More than 15,000 people have died in Brazil after contracting the novel coronavirus, the country's health ministry says.

Health officials reported 816 new deaths on Saturday, bringing the total to 15,633.

The number of cases in Brazil continues to rise. There are 233,142 cases of the virus in the country and 14,919 new cases were reported in the 24-hour period between Friday and Saturday, the ministry said.

Brazil has the fourth-highest number of Covid-19 cases in the world, according to data from Johns Hopkins University. The latest uptick pushed Brazil's case count past Spain and Italy.
 
Bado kule jamhuri ya watu wa nchi ya kusadikika.. Ambako ramli ndio imechukua nafasi ya taaluma

Jr[emoji769]
 
Waende fasta Kwa "Rajiolina" wakachukue kimiminika
 
Rais wao mpuuzi alidharau lockdown, tena kwa kejeli lockdown, .... kama yanayotusubiri hapa mimi na wewe
 
Corona ni mafua tu Sema kuna watu walijazwa uwoga na media za Mabeberu
 
Wakati brazil death ikifika elfu nane wakaamua kuchimba makaburi elfu kumi na tatu mengine yakibaki wazi kusubiri vifo vipya, sasa sijui watachimba elfu thelasini tena. Hatari sana!
 
In the next few days, Russia anamnyang'anya usukani Spain na hatimae kuwa ndie kinara wa Eurozone, na #2 kwenye Chini ya Jua!

Kabla ya Jtano, Brazil nae anampiku UK na kuwa #4 duniani huku akiendelea kuongoza kwa mbaaaali kwenye michuano ya Copa America... in short, kule hana mshindani na kamwe hatatokea kwa msimu huu!

Hadi kufikia Ijumaa, Spain kwa mara nyingine lazima ashushwe chini na Brazil ambae anaitamani sana Top 3!

Mchuano kati ya Brazil na Russia utakuwa mkali kweli kweli lakini Russia akitoboa hadi June kwenye #2 basi heshima kwa Putin, na kwa hakika hapo ndio nitaamini kwamba Russia ndie taifa pekee tishio kwa USA duniani kwa kila nyanja, ukiondoa masuala ya uchumi!

As always, USA is unbeatable... huyu hana mshindani kwa kila eneo! China kajifanya kutangulia na baiskeli ya mbao, hivi sasa anapumulia mashine!

Itoshe tu kusema kwamba, mataifa yote yaliyotajwa hapo juu ni miongoni mwa mataifa ambayo walikuwa wakaidi kweli kweli! Na sie Waswahili huwa tunasema, Mkaidi hatafaidi hadi May 23 au May 24... next week tu hapa!!
 
Aliyaita mafua ya kawaida...but ndio yanapukutisha wananchi wake.
 
Back
Top Bottom