Brazil vs Argentina

hashycool

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2010
Posts
6,555
Reaction score
2,837
mtanange ndo huo wakuu mojamoja kutoka binn khalifa stadium sasa! aljazeerah sports channel
 
mechi inaanza saa mbili kamili kwa saa za Tanganyika
 
hivi gaucho bado yuko kwenye kikosi cha brazil namuona hapa anapasha misuli
 
Mpaka sasa ngumu kutabiri nani atashinda japo Brazil wana nafasi kubwa
 
mpira ni half time 0-0 jamaa wanatumia akili sana ktk uchezaji wao
 
asante sana wakuu kukumbushana manakenilisahau kabisa hii game leo japo ni ya kirafiki sio mbaya kusukuma siku.
 
Mpaka sasa ngumu kutabiri nani atashinda japo Brazil wana nafasi kubwa

Pole mkuu angalau unaonekana sasa, vipi naona hali sio shwari kabisa .... .... tutegemee nini?
 
Nisaidieni ni website ipi mnayoangalia........ile iliyoandikwa hapo juu haifunguki...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…