Brazil vs Argentina

inawezekana maana mzee wetu kwa kutengeneza hekima hajambo we utasikia tu hawezi kwenda bure pale
Anawasupport Qatar kwenye bid ya kuhost world cup, ukiona hivyo ujue babu ameenda kutafuta mnunuzi wa club ameshachoshwa na akina Glazers. Hii game niliangalia kipindi cha kwanza ikaniboa nasubiria mechi zinazoanza baadaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…