Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
🤣🤣Huku sasa unapoingia umekosea njia, kama huna cha kuandika Bora ukae kimya nenda hata kasome nyuzi za bichwa komwe maana nilikwambia uende kwa tilatila utachanganyikiwa zaidi ya hapa
Tatuta kazi ya kufanyaRais Lula wa Brazil amepiga marufuku kamari ya mtandaoni nchini Brazil siku kama nane kuelekea uchaguzi wa Rais.
Madai ni kuepuka matatizo ya kiafya na kiuchumi? Tanzania nayo ipige marufuku online gambling kama kubet, aviator na online casinos?