Brazil wameyaaga mashindano ya Kombe la Dunia mwaka 2022 baada ya kufungwa 4-2 na Croatia kwa mikwaju ya penalti.
Hakika Brazil ilikuwa ni ile ya akina Pele, Tostao, Garrincha, Didi na wengineo na hata ile ya akina Zico na Falcao vilevile na ya akina Ronaldo de Lima na Ronadinho na ile ya akina Romario, Marcio Santos n.k, lakini hii inatumia tu jina la Brazil lakini ni bure kabisa.