Lakini bado bora hii kuliko Ile iliyopigwa kwao 7-1 na GermanyBrazil wameyaaga mashindano ya kombe la dunia mwaka 2022 baada ya kufungwa 4-2 na Croatia kwa mikwaju ya penalti,
Hakika Brazil ilikuwa ni ile ya akina Pele, Tostao, Garrincha, Didi na wengineo na hata ile ya akina Zico na Falcao vilevile na ya akina Ronaldo de Lima na Ronadinho na ile ya akina Romario, Marcio Santos nk lakini hii inatumia tu jina la Brazil lakini ni bure kabisa.
ni kweliBrazil wameyaaga mashindano ya kombe la dunia mwaka 2022 baada ya kufungwa 4-2 na Croatia kwa mikwaju ya penalti,
Hakika Brazil ilikuwa ni ile ya akina Pele, Tostao, Garrincha, Didi na wengineo na hata ile ya akina Zico na Falcao vilevile na ya akina Ronaldo de Lima na Ronadinho na ile ya akina Romario, Marcio Santos nk lakini hii inatumia tu jina la Brazil lakini ni bure kabisa.
Messi analichukua hilo kombeBaadae Ni xamu ya Messi kuaga mashindano
Endelea kuotaBaadae Ni xamu ya Messi kuaga mashindano
Messi wa buza? A.k.a Mandonga 🤣🤣Messi analichukua hilo kombe
Sahau, Messi anaweza kuondoka na kombeBaadae Ni xamu ya Messi kuaga mashindano
Mkeka wangu umechanika vibaya sana. Hapa nipo naugumia maumivu tu.Brazil wameyaaga mashindano ya kombe la dunia mwaka 2022 baada ya kufungwa 4-2 na Croatia kwa mikwaju ya penalti,
Hakika Brazil ilikuwa ni ile ya akina Pele, Tostao, Garrincha, Didi na wengineo na hata ile ya akina Zico na Falcao vilevile na ya akina Ronaldo de Lima na Ronadinho na ile ya akina Romario, Marcio Santos nk lakini hii inatumia tu jina la Brazil lakini ni bure kabisa.
Messi ni mmoja tu dunianiMessi wa buza? A.k.a Mandonga 🤣🤣