Brazili ya zamani ni kama inaridi ukitazama vijana kule kwao

Brazili ya zamani ni kama inaridi ukitazama vijana kule kwao

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Wakuu naona vijana wa Brazili wamekuwa hatari mno na kwa sasa naona ile Brazil ya zamani inarudi upya.
 
Bado sina uhakika na hilo sababu wamedraw na South Africa Kama haitoshi wamedraw had na Iraq na leo wameshinda 6 dhidi ya timu nyepesi ya Honduras HIVYO TUTAWAPIMA FINAL.
Ujeruman bado anaongoza 1 dhidi ya Nigeria mshindi atakutana na Brazil Final
 
Back
Top Bottom