MURUSI JF-Expert Member Joined Jun 25, 2013 Posts 4,537 Reaction score 8,824 Aug 17, 2016 #1 Wakuu naona vijana wa Brazili wamekuwa hatari mno na kwa sasa naona ile Brazil ya zamani inarudi upya.
Wakuu naona vijana wa Brazili wamekuwa hatari mno na kwa sasa naona ile Brazil ya zamani inarudi upya.
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,106 Reaction score 14,353 Aug 17, 2016 #2 Bado sina uhakika na hilo sababu wamedraw na South Africa Kama haitoshi wamedraw had na Iraq na leo wameshinda 6 dhidi ya timu nyepesi ya Honduras HIVYO TUTAWAPIMA FINAL. Ujeruman bado anaongoza 1 dhidi ya Nigeria mshindi atakutana na Brazil Final
Bado sina uhakika na hilo sababu wamedraw na South Africa Kama haitoshi wamedraw had na Iraq na leo wameshinda 6 dhidi ya timu nyepesi ya Honduras HIVYO TUTAWAPIMA FINAL. Ujeruman bado anaongoza 1 dhidi ya Nigeria mshindi atakutana na Brazil Final