Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Hivi Boss wako akikutuhumu kwamba umetoa siri za aidha kampuni au vinginevyo wakati si kweli je ni wapi unaweza kumshitaki atoe ushahidi kwa tuhuma hizo?
Kuna rafiki yangu amesingiziwa na Boss wake kwamba amekuwa akitoa siri za kampuni nje wakati siyo kweli sasa anaomba msaada kwa wanasheria apeleke wapi malalamiko ili huyu Boss aitwe huko athibitishe!!