kwenye video mpya ya ay inayoitwa leo kuna clip mwisho ya wimbo wake mpya unaitwa bread and breakfast nilipata taabu sana kuelewa anachomaanisha, nilipo wauliza machizi wa mtaa wakaniambia hiyo ni chai na mkate mazee.hapo ndipo nilipofunguka macho na kuona hili bonge la direct translation na kama kuchemka hii imevunja record. Kwa kuwa ay anamuelekeo wa kuwa international artist wazee hizi mistake zimekaa vipi?
Lets hear the whole song na maelezo yake pia---- usanii una viunga vyake sometimes vinachanganya
kaka ile kitu ni BED & BREAKFAST...nitawasiliana na mdau kama atakubali kutoa blue-print ya lyrix za hilo dude nitaliweka hewani wadau tulijadili...ila A-to the wizzy ni noma..kijana kakaa kibiashara zaidi...anxiously dressed to make 'em greens.