Jamani hakuna mwanaume anaachwa.Kuna namna ambayo ni more suitable kuachana na mtu ambae let say hajakukosea zaidi ya kumweka chini siku moja na kumwambia "mimi na wewe hivi au vile. . . "?!? Yani unataka kumwacha kwa sababu zako binafsi (umemchoka, humpendi tena, umepata mwingine, umeona mahusiano yenu hayatoenda popote n.k)???!
Kama ni wewe mwachwaji. .unaprefer kuachwa mara moja (kashajua anakuacha akwambie mara moja) au kuachwa taratibu(anakutafutia pozz la kukuacha hata kwa miezi huku ukijua bado mpo kama kawaida)??! Kwanini?
sun wu,Nihaa?There are no easy ways to be dumped..., Ila kwa faida yako na yake the sooner the better unamwambia (its better mmoja wenu kuwa happy kuliko wote wawili kuwa sad, am sure ukijinganganiza kumpenda utamfanyia visa bure) na mwisho wote wawili mtakuwa dissapointed
Watu wapo tofauti am sure muhusika kwa kumjua mpenzi wake atajua ni vipi amwambie (kama ni mtu wa hasira.., kama ni mtu wa kuchukua uamuzi wa ajabu (mfano kunywa sumu n.k.) ). Hivyo kumwambia ni inevitable ila muhusika ndio anajua mbinu sababu anamjua ex wake
Jamani hakuna mwanaume anaachwa.
As for women huwa nina prefer style ya .....killing me softly.......hii husaidia sana kuzuia wasile sumu,na ninaamini kinamama watakuwa wana prefer huu utaratibu maana na wao unawapa fursa ya kujipanga,au kina mama mnaonaje?
ndo maana huwa naprefer tuambiane ukweli from the beggining.... Mnapoingia kwenye mahusiano mwanzoni epukeni mapromise yasiyo na maanathere are no easy ways to be dumped..., ila kwa faida yako na yake the sooner the better unamwambia (its better mmoja wenu kuwa happy kuliko wote wawili kuwa sad, am sure ukijinganganiza kumpenda utamfanyia visa bure) na mwisho wote wawili mtakuwa dissapointed
watu wapo tofauti am sure muhusika kwa kumjua mpenzi wake atajua ni vipi amwambie (kama ni mtu wa hasira.., kama ni mtu wa kuchukua uamuzi wa ajabu (mfano kunywa sumu n.k.) ). Hivyo kumwambia ni inevitable ila muhusika ndio anajua mbinu sababu anamjua ex wake
sun wu,Nihaa?
baada ya salam hiyo nikwambie hivi: hata siku moja usimwambie mwanamke'kuanzia leo sikutaki tena' unless of course you are courting a disaster ale sumu ulie mikono kichwani.Kuachana inatakiwa iwe mchakato kwa sababu who knows in the process unaweza upate realization kuwa you are wrong na tofauti zenu zinatatulika,afterall who is perfect?
There are no easy ways to be dumped..., Ila kwa faida yako na yake the sooner the better unamwambia (its better mmoja wenu kuwa happy kuliko wote wawili kuwa sad, am sure ukijinganganiza kumpenda utamfanyia visa bure) na mwisho wote wawili mtakuwa dissapointed
Watu wapo tofauti am sure muhusika kwa kumjua mpenzi wake atajua ni vipi amwambie (kama ni mtu wa hasira.., kama ni mtu wa kuchukua uamuzi wa ajabu (mfano kunywa sumu n.k.) ). Hivyo kumwambia ni inevitable ila muhusika ndio anajua mbinu sababu anamjua ex wake
Huwezi kumwambia dry kwamba leo ninakuacha.., (inategemea busara zake ila inabidi kumwambia.., )sun wu,Nihaa?
baada ya salam hiyo nikwambie hivi: hata siku moja usimwambie mwanamke'kuanzia leo sikutaki tena' unless of course you are courting a disaster ale sumu ulie mikono kichwani.Kuachana inatakiwa iwe mchakato kwa sababu who knows in the process unaweza upate realization kuwa you are wrong na tofauti zenu zinatatulika,afterall who is perfect?
unaelewa bana.......unaufahamu wimbo wa Tina Tina wa marehemu mbaraka mwinshehe?.....jamaa alikurupuka kumwacha mwenzie akaishia kuimba...tina tina naomba turudiane...kuachana kunatakiwa kuende taratiiiiiiiibu hadi mwenzio aone kwamba kweli 'akufukuzae hakwambii toka'.Byshanga embu fafanua kwa undani "killing me softly" inavyokua.
Hilo la wanaume naliacha kwa sasa hivi maana nataka point zako.
Kuna namna ambayo ni more suitable kuachana na mtu ambae let say hajakukosea zaidi ya kumweka chini siku moja na kumwambia "mimi na wewe hivi au vile. . . "?!? Yani unataka kumwacha kwa sababu zako binafsi (umemchoka, humpendi tena, umepata mwingine, umeona mahusiano yenu hayatoenda popote n.k)???!
Kama ni wewe mwachwaji. .unaprefer kuachwa mara moja (kashajua anakuacha akwambie mara moja) au kuachwa taratibu(anakutafutia pozz la kukuacha hata kwa miezi huku ukijua bado mpo kama kawaida)??! Kwanini?
Sasa Byshanga what if akufukuzae ana mgeni mwingine mlangoni? Aendelee kukuweka ndani wakati mwenzio anang'aa tu macho barazani?unaelewa bana.......unaufahamu wimbo wa Tina Tina wa marehemu mbaraka mwinshehe?.....jamaa alikurupuka kumwacha mwenzie akaishia kuimba...tina tina naomba turudiane...kuachana kunatakiwa kuende taratiiiiiiiibu hadi mwenzio aone kwamba kweli 'akufukuzae hakwambii toka'.
For his/her sake) unaweza ukakaa nae polepole na kumuonyesha kwamba is it okay mimi kunifunga sababu ya furaha zako ?, Is it okay mimi nikae kwako wakati sipo happy.. (nina uhakika mwisho wa siku atagundua kwamba anachofanya sio busara) His/Her Happiness for your Sadness.Sasa ukimwambia taratibu na bado akakutisha kunywa sumu utafanyaje?
niha ni salam ya kichina,umwewahi kusoma kitabu cha sun tzu (the art of war)? ni kitabu kizuri sana naona mdau su kakiweka kwenye avatar yake.Byshanga ni NIHAO bana!!
Nwy. . .hiyo ya kusema mtu asiambiwe straight. . .what if kuna mtu mwingine pembeni? Yani ambae ndo unataka kuwa nae. . .anatakiwa asubiri wakati unam"kill mwanaume/mwanamke mwenzie softly"?!
Asipoonyesha kuelewa je?For his/her sake) unaweza ukakaa nae polepole na kumuonyesha kwamba is it okay mimi kunifunga sababu ya furaha zako ?, Is it okay mimi nikae kwako wakati sipo happy.. (nina uhakika mwisho wa siku atagundua kwamba anachofanya sio busara) His/Her Happiness for your Sadness.
Kumbuka kuachana kama wapenzi does not mean kwamba sio marafiki tena (hivyo basi utam-treat kama any suicidal friend) sababu kukulazimisha atakuwa anaku-blackmail using your emotions
yeah,Kuna namna ambayo ni more suitable kuachana na mtu ambae let say hajakukosea zaidi ya kumweka chini siku moja na kumwambia "mimi na wewe hivi au vile. . . "?!? Yani unataka kumwacha kwa sababu zako binafsi (umemchoka, humpendi tena, umepata mwingine, umeona mahusiano yenu hayatoenda popote n.k)???!