Break up. . .

Asante sana Watu8. . .
Basi inabidi consideration wakati wa kuachana iwepo zaidi iwapo mahusiano yalikua yenye malengo ya mbali kati ya wapenzi/wenzi hao. Zaidi ya hapo ni kiasi tu cha kupeana ruhusa kila mmoja akatafute wakumfaa zaidi.

jr. . .asante JR.. . nakubaliana na wewe.
 
Last edited by a moderator:
Dah, sijawa mkali
Ila inauma, bora tu aseme clear and sharp kuliko kill me softly.

Konnie mbona umekuwa mkali?
Kama ilivyo kukutana na kuanza mahusiano, hatua inayoweza kufuata ni kuachana. Tukubali tu na tuwe tayari kupata na kupoteza pale inapobidi.
 
Lizzy ....you are special! Heri yake atakayekuoa!

I wish. . .

CANta. . .
Alikua na kazi kweli. Hao ni sawa na wale wanaotishia kujiua. . .anakushinikiza kubaki.

@Fynest. . . no you don't. Embu nishtue. . .
 
Last edited by a moderator:

mie naprefer kuachwa mara moja yaani muhusika akijisikia hanihitaji tena aende straight to the point kua hanitaki tena na anipe sababu! Ntaumia but ntampa baraka zote..sioni haja ya mtu kukungangania na wakti ameshakuchoka na hana future yoyote na wewe kwa sababu atazidi kukuumiza coz he/she doesn't care anymore! Ya nini kuzibiana riziki bana aniache imediately sio polepole mradi tu awe na sababu..
 
usione mahali nimeweka mguu aya mchukue basi
Jaman smile hebu jiamin japo kidogo basi,hilo pande kanisakizia bishanga ndio nikamwabia TF ana wake!!
Ndio TF kaniomba nimlindie wewe!!
Soma vizuri utaelwa bana,
Mie Rejao ananitosha wala sitaki mwingine!
 
Swaiba salama lkn?
Hane muni mwaka???

Usijali hilo nalimudu sana nitakua namwangalia kwa karibu kbs!
Yule mwingine ulimwachaje?slow slow au ulifunguka live mkamalizana?
Hahahaha!!! Nilikuwa nimeenda na kuwinda kabisa
 
Kweli Mende... sema wakati mwingine unaweza kuta huyo unayemwacha nae alikua anasubiria muda tu.

Unaumia sana unae achwa lakini huyo anae kuacha yeye anaona amepunguza mzigo flani katika kichwa chake
 
I wish. . .

CANta. . .
Alikua na kazi kweli. Hao ni sawa na wale wanaotishia kujiua. . .anakushinikiza kubaki.

@Fynest. . . no you don't. Embu nishtue. . .
Nikutojitamua tu,na kushindwa kukubali matokeo!!!
 
I wish. . .

CANta. . .
Alikua na kazi kweli. Hao ni sawa na wale wanaotishia kujiua. . .anakushinikiza kubaki.

@Fynest. . . no you don't. Embu nishtue. . .
There is no good way to break up with somebody whether you are nice, mean or nasty in ending it up you're still going to hurt another person feelings and emotions
 
There is no good way to break up with somebody whether you are nice, mean or nasty in ending it up you're still going to hurt another person feelings and emotions

Zote ni sehemu ya maisha. . .la muhimu tukubali yakitokea yakutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…