Breakdown ya Mshahara wa Wafanyakazi

Mtangoo

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
6,167
Reaction score
5,613
Wana JF,
Ninahitaji information ya Legal Breakdown ya Mshahara wa Wafanyakazi wa serikali na makampuni Binafsi kama sheria ya nchi inavyotaka. Information yeyote (kama asilimia za kodi mbalimbali, SSF, n.k. itakuwa msaada mkubwa)
Kama naweza kupata Document yeyote itakayonisaidia pia itakuwa vyema.

Ahsanteni!
 

nssf 10% ya mshahara wako na mwajiri anakuchangia 10%, kama ni serikali ukiacha hiyo nssf mifuko mingine yote ppf, lapf, gepf, pspf wewe unakatwa 5% ya basic salary(bs) mwajiri anakuchangia 15% na nhif kama ni serikali ww 3% ya bs pia mwajiri wako ivo ivo but paye ni so diverse kulingana na msahra wko ukitaka kujua paye fungua tra website nenda kwenye pyrol calculator weka mshahara waka baada ya kuondoa % ya mfuko wa jamii utaona unachokatwa mara 1.



Ushauri khusu michango ya jamii private mara nyingi 10% each mfnykaz na mwjr ucje ukaanzisha mgmo ukafukuwa bila sababu mkuu>
 
Wee Mtangoo unataka kuchangamana na mafisadi we engineer!!?
Kaa huko huko ulipo, serikalini kuna ushawishi wa kuhujumu umma ndg yangu. Kuna mgongano wa kimasrahi kati ya uzalendo na uhujumu. Binafsi nafahamu kuwa wewe huna tamaa ila utakutana na mijitu misaka tonge huko kwenye taasisi za serikali. Watakutumia kwa nguvu kuvuruga taaluma yako ukikataa "WATAKUMALIZA"
Unakumbuka saga la EWURA last month?
Juzi engineer wa maji wilaya ya Morogoro amekufa kifo cha kutatanisha haijawahi tokea ktk nchi hii; alipata ajari akiwa anaendesha gari yake gx100 kwa mwendo kasi mdogo sana, aligongana uso kwa uso na fusso akarushwa juu kwenye nyaya tatu za umeme, then akasafiri na nyaya kama mita50 hivi mpaka kwenye paa la nyumba ya mtu. Katoboa paa mpaka chumbani juu ya meza na meza ikavunjika wakamuokota uvunguni mwa meza akiwa mfu bila dalili ya kupigwa shoti ya umeme!!!
Kaa huko huko classmate wangu Nchi ina wenyewe hii usijeliza nduguzo!
 
Subhaanallah! Mhh hiko kifo si mchezo...
 

duuh... inatisha balaa
 
Bora ukaridhika na unachokipata kuliko kuchokonoa kifo serikalini
 
Ukiwa serikalini ni mshahara pekee unakatwa kodi, allowance zingine ni tax free.
Ukiwa nje ya serikali mshahara na allowance zote zinakatwa kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…